Wednesday, September 15, 2010

Zanzibar Vs Ulabu


Wakati Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hupiga marufuku matangazo ya Pombe katika visiwa vyote viwili vya Pemba na Unguja, Kinywaji Rasmi chenye ulevi aina ya Jupiler nchini Belgium kimetumiwa na mgahawa mmoja mjini Liege kuitangaza Zanzibar.

No comments:

Post a Comment